POOL PARTY

POOL PARTY

Thursday, February 20, 2014

‘KIBENDI’ CHAMPA LIKIZO ODAMA!

MSANII wa sinema za Kibongo, Jeneffer Kyala ‘Odama’ ameamua kupumzika kuigiza hadi atakapojifungua.
Jeneffer Kyala ‘Odama’.
Taarifa za uhakika kutoka kwa mtu wa karibu na staa huyo, zimeeleza kuwa, kwa kuwa nyota huyo tayari tumbo limekua, hawezi tena kuhimili mikikimikiki ya uigizaji ndiyo maana kaamua kupumzika.
“Amesimama kuigiza hadi atakapojifungua, tumbo kwa sasa ni kubwa,” alisema mtu huyo wa karibu. Odama alipotafutwa alisema: “subiri kidogo, nitakucheki baadaye.”

No comments:

Post a Comment