POOL PARTY

POOL PARTY

Saturday, February 22, 2014

MWANAFUNZI AJICHOMA KISU BAADA YA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE [2013] KUTOKA !!

Written By haryeth paul on 2/22/2014


Kijana ambae jina lake halija famika mpaka sasa,aneishi mwananyamala dar es salaam anae semekana kuwa ni mwanafunzi ambae alimaliza kidato cha nne mwaka jana yan elfu 2013 alikutwa amejichoma kisu shingoni na kuwahishwa hospital ,huku chanzo kikisemekana kuwa ni matokeo yako ya kidato cha nne,matokeo yake hayakuwa mazuri maana amefeli kwa kupata ziro...

paparazi itazidi kuwapa taarifa juu ya chanzo hicho kilivyokuwa.

No comments:

Post a Comment