POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, February 28, 2014

SHARAPOVA, MWENZAKE WAMMIMINIA MABUSU NYAMWELE

Stori: Mwandishi Wetu MAHABA? Mnenguaji grade one Bongo, Asha Sharapova na mwenzake, Titi Mwinyi wamenaswa wakimmiminia mabusu motomoto, mnenguaji mwenzao wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela.
Mnenguaji mpya wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Asha Said ‘Sharapova’.
Tukio hilo lililogusa hisia za ‘wataalam wa mambo’, lilitokea hivi karibuni pande za Sinza-Afrika Sana jijini Dar. Nyamwela alipoulizwa kuhusiana na ishu hiyo, alisema ni ishara ya upendo wa kawaida na hakuna cha ziada.

No comments:

Post a Comment