POOL PARTY

POOL PARTY

Tuesday, February 25, 2014

MPOTO NA WENZAKE WATEULIWA KUWA MABALOZI WA KILIMO KUZUNGUKA NCHI NZIMA KUHAMASISHA KILIMO

Hivi karibuni shirika la kijamii la ANSAD limemteua Msanii wa muziki wa asili Mrisho Mpoto na wenzake kuwa Mabalozi wa kilimo kwa kuwapa mkataba wa mwaka kama mmoja hivi.Wasanii hao watakua wanafanya shughuli mbalimbali za uhamasishaji wa jamii kukitumia kilimo kujikwamua na umaskini, ANSAD ni shirika ambalo lilipata tuzo kutoka shirika la kimataifa la ONE ambalo nalo hivi karibuni lilipiga kazi pamoja na Diamond Platinum na AY
Mjomba Mpoto huyu hapa

No comments:

Post a Comment