POOL PARTY

POOL PARTY

Wednesday, February 26, 2014

TUKIO LA KAJALA KUWEKEWA SUMU KWENYE KINYWAJI,WEMA SEPETU AFUNGUKA ILIVYOKUWA

 
Siku ya Jumatatu Staa ]filamua za Kibongo, Kajala Masanja kupitia account yake ya Instagram kuandika kuwa alipokuwa kwenye shoo ya Izzo B,Club 71 iliyopo maeneo ya Tegeta, ghafla alianza kuumwa ndipo alipopelekwa nyumbani na kuelekea hospitali.Aidha alisema kuwa alipofika hospitali alipimwa akaonekana amekula sumu na kuongeza kuwa alimshukuru Mungu na kuendelea vizuri. Kajala hakuweza kupatikana siku hiyo ya Jumatatu, ila 255 imezungumza na swahiba wake wa karibu Wema Sepetu amefunguka kilichotokea usiku huo.

No comments:

Post a Comment