POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, February 28, 2014

PNC AFUNGUKA BAADA YA KUPIGWA PICHA YA UDHALILISHAJI NA USTADHI JUMA NA MUSOMA

Kufuatia picha na video inayomwonyesha Msanii PNC akiwa amempigia magoti Boss wake wa zamani CEO wa mtanashati Ustaadh Juma na musoma, lawama nyingi zimemwangukia Ustaadh kwa kuziweka picha hizo mtandaoni
Siku ya jana PNC hakuweza kupatikana ila leo 255 ya xxl ya clouds fm imepiga naye stori.

No comments:

Post a Comment