Baada ya single yake (jambo jambo) kufanya vizuri sana kwenye stations
mbali mbali, mkali wa R&B, Steve rnb anatarajia kuachia single
nyingine kwa fans wa nyimbo zake na style yake siku ya kesho, single
hiyo aliyoipa jina "Huyu Dem" amemshirikisha Mr Blue.
"Mashabiki wangu, Natarajia kutoa Single yangu mpya July 9th, 2013. Single yangu mpya inaitwa "Huyu Demu" featuring Mr. Blue!!! #TeamRnB"
No comments:
Post a Comment