POOL PARTY

POOL PARTY

Saturday, July 13, 2013

Rapper wa kitambo aliehit na "kukuru kakara zako" kudondoka na ngom ampya 2013



Ikiwa ni zaidi ya miaka 16 imepita tangu hit ya " Kukuru kakara zako" itoke na kufanya poa sana kwenye game ya bongo fleva Enzi hizoooo wakati  GAME likiwa changa.

Mmiliki wa ngoma hiyo Rapper Sos B, anajipanga tena kuachia dude jipya litakalotengenezwa na studio yake mpya, huku yeye mwenye aki-produce ngoma hiyo.

Inawezekana Sos B alikuwa akifanya majaribu kuona kama anaweza kurudi, kwasababu nimekutana na demo yake ikiwa imevuja kwenye mtandao, akisikika akichana mistari aliyowahi kuichana katika wimbo wa "Piga makofi" ya Prof Jay.

Sos B aliwahi kushirikishwa kwenye album ya Machozi Jasho na Damu ya Profesa Jay, pini la "Piga Makofi"

No comments:

Post a Comment