Dj Pq, (Peter Chasama) kutoka Clouds Media Group, anatarajiwa kupiga
ndani ya Big Brother House nchini South Africa, mwaka huu, ambapo
atapiga siku ya jumamosi (20) kuwapa shangwe housemates
Dj Pq aliwahi kufanya kazi na kipindi cha XXL Clouds Fm, lakini kwasasa
unamuona kupitia kipindi cha Cloud 9 kupitia Clouds Tv akiwa na DeeAndy.
Kama unakumbuka mwaka 2012, katika session ya ma Dj, kutoka Tanzania
tuliwakilishwa na the one and only best femaly Dj in Tanzania, Dj Fetty,
na kutupia shangwe za hatari kwa housemates, ambapo alipiga siku mbili
mfululizo, jumamosi na siku ya eviction ambayo ni jumapili.
All the best to you, najua utakamua sanaaaaa. Noumer sanaaaa
No comments:
Post a Comment