POOL PARTY

POOL PARTY

Thursday, July 18, 2013

DIAMOND "AWAPA MAKAVU" WATU WANAOCHUKIA MAFANIKIO YAKE....



Inaonekana Diamond amechoshwa na haters wanaosubiri aanguke kimuziki na kumcheka...


Kupitia mtandao wa Instagram, Diamond ameamua kutupia picha inayomuonyesha akianguka kutoka juu (angani) na kufikia chini kwa kichwa kwenye barabara ya lami. 


Picha hiyo ilisindikizwa  na maelezo yanayosema , "Najua hiki ndio mnachokisubiri, kwahiyo endeleeni kusubiri"...
# Haters

No comments:

Post a Comment