Nakumbuka kipindi Recho ndio anatoka na singe yake ya kwanza kabisa
kwenye industry, wasikilizaji wengi sana walidhani ni Ray C, na baada ya
kujua kuwa ni
Recho mwenye sauti na kuimba kama Ray C wengi walisema
kuwa ana copy na ku-paste style ya uimbaji pamoja na sauti ya Ray C,
lakini kwasababu Ray C mwenyewe kwa wakati huo alikuwa yupo kimya, basi
mama ako akatumia fursa vizuuuuri akatusua, mpaka sasa anafanya vizuri
na single mpya "Mwali Kigego"
Sasa Ray C yuko poa na tayari anaonekana kuanza kuwa na mipango ya
kurudi tena kwenye game, leo hii ameonekana akimsifia Recho kwa kuwa na
sauti nzuri na anaipenda na kuahidi kufanya nae collable kwasababu
anaamini Recho anampenda na kumkubali yeye.
rayc1982Dogo
Langu Kazini,kwasababu ananipenda na kunikubali lazma tutaimba wote
wimbo mmoja for You guys cz hata mimi penda sauti yake sana!!!!!! Miss
Upepo@rachelkizunguzungu
No comments:
Post a Comment