Paparazzi wetu alimfuma nyumbani kwake Mwananyamala akimalizia kukamua juisi, baada ya kupika futari mida ya saa kumi jioni
“mimi mbali na muziki naweza kupika chakula kitamu na kuandaa juisi tamu kama hii” Alisema Snura.
(Picha na Hamida Hassan /…
Hivi ndivyo kamera yetu ilivyomfuma staa wa muziki Snura Mushi 'Mama
Majanga' akiandaa futari ikiwa ni siku ya pili toka mfungo wa Ramadhani
uanze. Paparazzi wetu alimfuma nyumbani kwake Mwananyamala akimalizia kukamua juisi, baada ya kupika futari mida ya saa kumi jioni
“mimi mbali na muziki naweza kupika chakula kitamu na kuandaa juisi tamu kama hii” Alisema Snura.
No comments:
Post a Comment