DARASA FT DITTO……….WEKA NGOMA
INTRO BY
DITTO… eehy eeh eeh ooooh weka ngoma eeeh eeeh eeh weka ngoma ooooooooh
DARASA…prince right here with the new souldier…for da hood…kanzu ndo mpya ila mashekhe ndo wale wale ..tud Thomas are you ready to do this…kiwalani
Verse 1 darrasa
Mwanzoni naanza kurap wakasema no way, nkicheki kwa kioo ni picha ya prof jay,
Ndugu marafiki hawamini ntatoboa, niacheni nkomae na muziki ipo siku utantoa,
Kabla ya tanza kuanza nia ilianza kiwalani, hakuna hata mwana aliyeniaminia kunipa imani,
Show za mitaani muomba dj anipe beat,mashabiki ashuke mwana hayuko fiti,
Mixer kurushiwa makopo ili nshuke stejini,msoto ndo ulifanya love akaingiaga mitini,
Marafiki kunisintch tu nkiondoka maskani,Yule raper raper gani anaerap chumbani,
Wengi nima fake, duniani hakueleweki , unaweza ukazaliwa nyanda na ukachezeshwa beki,
Wonder what is next, Mungu ajibu text,ukimuamini mtu tu umefanya mistake,
Chorus by ditto
Weka ngoma aah ,rusha ngoma aaahh muziki tah tah
Sumu kuzubaa, ni zaidi ya upepo ukivuma ila tazama na nyuma amsha kaza zidi kukomaa X2
Ooooooh oooooh ooooh ooh oooooooooooooooooh weka ngoma eeyeeeehhh eeeyheeee eeehyee
Darasa..put your hands in da air iringa songea njombe makambako hadi kwa kina izzo mbeya,
Muziki wetu X3
Ooooooh oooooh ooooh ooh oooooooooooooooooh weka ngoma eeyeeeehhh eeehyeee eeeehyeee
Darasa..put your hands in da air singida tabora hadi kwa bilali mpanda shinyanga sumbawanga na kwa farid kubanda, for the soja for the soja
Verse 2,
Maisha ni safari na ajali zinatokea, kuishi ni kamali aslyum dog millionaire,
Siwezi kusintch hata kwa njaa ya miaka mia,ndomana shida zangu ziki uwa navumilia,
Natafuta njia jinsi gani ya kutatua, matatizo ndo yanafanya akili inakua,
Imani kuna changu Mungu kaweka ntachukua, wanasema rap haina deal eti mmmh
Com ananigongea beat wiki mbele anafariki,hope ya mziki inakata narudu street,
Wanasema ukilala hautoki bila kujimix, nipo misele mitaa ya ilala najua na spice,
Ananitroduce kwa maneck, ili maneck anisikize anasema tumcheki, baada ya mwezi hapa kati yupo bize,
Ikawa nenda uje baadae baadae hana time,mzee inabidi uvumilie mambo ya binadamu,
Ooh my God what a life mara nyingi ni long nite, hata mwili ukipumzika kichwa bado kipo size,
Hustle na mateso nliyopitia kitaa, ndipo hapo nlipoandika sikati tamaa,
Chorus by ditto
Weka ngoma aah ,rusha ngoma aaahh muziki tah tah
Sumu kuzubaa, ni zaidi ya upepo ukivuma ila tazama na nyuma amsha kaza zidi kukomaa X2
Ooooooh oooooh ooooh ooh oooooooooooooooooh weka ngoma eeyeeeehhh eeeyheeee eeehyee
Put your hands in the air geita musoma bukoba boda to boda hadi kwa alli kigoma
Muziki wetu X 3
Put your hands in the air moro dom hama kwa roma tanga zenji poleni kwa majanga
Verse 3
Aah yoo
If you believe in yourself hands in the air,kama unaweza kutambaa basi unaweza kutembea,
Ukiniona mi narap kwenye tv, sifanyi kuuza sura ningoe mademu cbe,
Nguzo yangu sala kwa Mungu usiku na mchana,anilinde na misala na mitihani ya ujana,
Binadamu nawajua ndomana awanisumbui ,kwenye riziki siku zote hapakosi uhadui,
Ukiweka imani kila kitu kitakuwa poa, shukuru kwa ulichopata ndo alichotoa,
Unaweza fanya ujinga mdogo na ukakukoma, uliza majirani kwao demu unaemuoa,
Kiwalani chama langu wananiaminia, chenga tamu wapinzani wanashangilia,
Khadija kasanga rest in peace daima milele, kama kuna mtu uliye mmiss utapiga kelele,
Chorus by ditto
Weka ngoma aah ,rusha ngoma aaahh muziki tah tah
Sumu kuzubaa, ni zaidi ya upepo ukivuma ila tazama na nyuma amsha kaza zidi kukomaa X2
Ooooooh oooooh ooooh ooh oooooooooooooooooh weka ngoma eeyeeeehhh eeeyheeee eeehyee
Put your hands in the air lindi mtwara A city kwa weusi ,moshi kwa yeyo, dar city ndo matusi damn dar city ndo matusi nasema zizi zima jiji zima classic music salute heshima muziki wetu milele tuombe uzima tu Thomas kaza zidi kukomaa
No comments:
Post a Comment