Tikiwa ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhan, msanii kutoka Tiptop
Connection ametengeza wimbo aina ya Qaswida (wa dini ya kiislam). Ingawa
sijausikia bado, lakini Tunda amethibitisha kuwa nao na kutoa fursa kwa
yoyote anae uhitaji kumtumia email yake au kwa kutumia whatsapp kwa
mwenye namba zake za simu.
No comments:
Post a Comment