Kufuatia kuripotiwa kwa habari iliyopewa kichwa "DIAMOND AFICHUA KISA CHA KULALA NA UWOYA!" , mwanadada Irene Uwoya ameamua kuvunja ukimya na kueleza dukuduku lake la moyoni....
Habari
hiyo ililipotiwa jana na magazeti ya udaku ikisimulia jinsi
Diamond na Uwoya walivyonasana na hatimaye kuvunja amri ya
sita....
Katika
habari hiyo, msemaji ni Diamond na wapambe wake ambao
wanasimulia jinsi walivyomnasa Uwoya na kumfanya akubali kuvua
nguo....
Baada ya habari hiyo kutoka, Uwoya alishindwa kuyaamini macho yake na hii ndo kauli yake aliyoitoa:
“Kuna saa najiuliza kwanin ukimwamini mtu ndio
anageuka...kwanin ukiwa muwazi watu wanakuchukulia vbaya?
"Leo( jana) nimeumia
sanaaa kuliko sikuzote...sijaamini mtu niliye mwamini kumuona kama rafiki
yangu anaweza kuongea shit kuhusu mim...
"Au najiuliza siruhusiwi kuwa na
rafik wa kiume? Lakin sa nyingine nakaa chin nasema God ...u know me
better”...Uwoya
No comments:
Post a Comment