POOL PARTY

POOL PARTY

Thursday, July 11, 2013

HUYU NDIO MREMBO AMBAE GELLY WA RYMES AMESEMA ANAFAA KUISHI NAE


Gelly wa Rhymes ni mmoja wa wabongo ambao wamewahi kumilikishwa namba nzuri kwenye chati za radio mbalimbali Tanzania na Kenya hasa kupitia single ya ‘Mama Ntilie’ ft Ray C.
July 10 2013 Gelly ameiweka hii siku kama kumbukumbu baada ya kulihutubia taifa la bongofleva kupitia hii video mpya inaitwa ‘lovely’
Please jisikie huru kuitazama na kuacha maoni yako hapo chini mtu wa nguvu.

No comments:

Post a Comment