AMA KWELI UTENGENEZAJI WA MOVIE HAPA TZ UMEKUA! HEBU MCHEKI MLIMBWENDE HUYU KUTOKA BONGO MOVIE AJIFUA KWA MAANDALIZI YA MOVIE MPYA! KISASA ZAIDI!!!!
MSANII
kutoka Bongo Movie mwana dada ''Nisha bebee'' Ambaye ni mmoja kati ya
wasanii wa kike wanao miliki kampuni ya movie hapa nchini,
Akiwa mazoezini anasema baada ya kufanya
vizuri kwenye pusi na paku na tikisa sasa wadau wake wakae mkao wa kula kuipokea filamu mpya hivi
karibuni ataingia kambini. aliongea na Masai Nyotambofu Blog leo asubuhi 23/JULY/2013.
No comments:
Post a Comment