Msanii
anayefanya vizuri sana kwa sasa Afrika mashariki Nasib Abdul aka
Diamond Platnumz amezungumza maneno mazito aliyokiri huwa yanamtoa
machozi, ni mambo yanayohusiana na ‘kifo chake’
Dakika chache zilizopita hit maker huyo wa ‘Kesho’ ame post picha Instagram yenyesura yake na maswali yanayouliza nini kitatokea baada ya kifo chake. Tazama picha hiyo inazungumza yenyewe
Picha hiyo ilisindikizwa na caption hii
“One
of my songs,always gets me crying whenever I listen to it, how I wish u
would hear it, but then again I have no clue as to when I will release
it… #WCB”
Platnumz
amekaa kimya bila kutoa wimbo mpya kwa muda sasa, je unahisi kuna
uwezekano ‘KAMA NIKIFA KESHO’ ukawa ndio wimbo mpya anaotegemea kuachia
hivi karibuni? Tusubiri tuone!
No comments:
Post a Comment