Msanii
mpya anayechipukia kwenye nyimbo za Gospel anajulikana kwa jina la
Josephat Mwombeki ni ndugu wa Johnson na Jackson(P Square wa bongo)
Ngoma
hizi zimetengenezwa na kusimamiwa na mtayarishaji wa music Steve white.
Albamu yake ipo tayari na itakuwa na nyimbo 9 zenye mahadhi tofauti ili
kujaribu kuleta challenge katika muziki wa injili.
Mpaka
sasa albam haijapatiwa jina ila uongoziuinakaa kwa ajili hiyo na lolote
jipya tutawajuza,ila tumeamua Rasmi kuziachia nyimbo hizo kwa ajili ya
kumtangaza na hatimaye kuitangaza albam mungu akijalia.
No comments:
Post a Comment