Tanzania leo imeanza vibaya kwenye shindano la Tusker Project Fame msimu wa sita, baada ya washiriki wawili wanaoiwakilisha kutok
Washiriki hao ni Durbat na Tanah ambao wameungana na mshiriki wa Rwanda, Peace kuyaaga mashindano hayo. Kutokana na kuondolewa kwa washiriki hao, Tanzania imebakiza washiriki wawili tu kwenye shindano hilo.
No comments:
Post a Comment