POOL PARTY
Thursday, October 24, 2013
JAMANI TUWASAIDIE,WEMA NA JOKATE WASHIKANA MASHATI KUHUSU SURA ZAO,KILA MMOJA ANAJINADI KUWA YEYE NI MZURI ZAIDI YA MWENZAKE...
Hawa wote ni wasanii maarufu wanaojulikana kimataifa na wenye sura zenye mvuto...
Ni wasichana jasiri na wajasiliamali wanaojua kuisaka pesa na wasio penda kuwa tegemezi.Hapa nawazungumzia Wema Sepetu na Jokate Mwegelo
Kumekuwa na ushindani wa chini chini kati yao kuhusu sura zao kiasi cha kuzua mjadala wa nani ni mzuri zaidi ya mwenzake....
Mmoja akivaa nguo hii leo, mwingine naye ni lazima aitafute nguo kama hiyo hiyo kesho aivae na kuitupia mtandaoni ili mashabiki walinganishe na kutoa hukumu.
Hizo ni picha zao 2 wakiwa ndani ya vazi la pundamilia. Na hapo wako mbele yako wakiomba UWAHUKUMU ili kuukata mzizi wa fitina..
Hukumu yako inaombwa izingatie kigezo cha SURA tu na siyo Tabia zao....Je, nani ni mkali zaidi ya mwenzake?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment