Kanye West atoa bonge la surprise kwa mama mtoto wake Kim Kardashian
kwenye birthday yake ambayo ilikua ni siku ya jumatatu ya jana ( October
21) baada ya kumuomba amuoe na kumvisha pete ya Diamond
(sio diamond msanii) yaani almasi, yenye Carate 15 katika uwanja wa baseball wa AT&T, Francisco.
Rapper huyu ali- propose huku band za orchestra zikitumbuiza ngoma ya
Lana Del Rey "young and beautiful" ambayo anaipenda Kim lakini pia ngoma
ya Kanye mwenyewe "Knock me Down" wakati zoezi likiendelea huku screen
iki flash neno "PLEEEEASE MARRY MEEEEE"
Baruti ziliwaka na kuruka mara tu baada ya Kim kusema YES na ndugu zake
kujitokeza na kushangilia. Hii itakuwa ni ndoa ya 3 kwa Kim huku ikiwa
ni ya kwanza kwa Kanye
Hivi ndivyo ilivyokuwa ikionekana kwenye screen kubwa
No comments:
Post a Comment