MITANDAO YA KIJAMII NA ATHARI ZAKE KWA WADADA WALIO KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI
Miongoni mwa mambo ambayo yamekuwa
yakinipa woga na hofu ni kuoa mwanamke anayetumia sana mitandao ya
kijamii zaidi ya moja mfano Twitter, Facebook, INSTAGRAM nk , Siku hizi
wimbi kubwa limeibuka la wadada kutumia mitandao hii unaweza kwenda na
mdada Date lakini asilimia 80 atakuwa anabofya bofya simu yake badili ya
kuongea na wewe ...huwa naondoa 60% kuwa sitowezana naye maana ni bora
mwanaume akawa anafahamu mambo mengi kuliko mwanamke atakudharua san
maana kila mtakachozungumza lazima apeleke mtandaoni huku upo naye
hapohapo na hivyo kuona huna jipya kwake, hii imenifanya mahusiano na
m/ke kitu muhimu kuuliza ni kuwa anatumia mitandao gani ya kijamii ili
namna ya kukabiliana naye au wadau mnasemaje watu hawa wanafaa kuwa wife
material kweli!
No comments:
Post a Comment