PROFESA JAY AKANUSHA TAARIFA ZA KWAMBA ATATUMBUIZA KESHO FIESTA
Kupitia account yake ya facebook,
Profesa Jay amewataka mashabiki wake watambue kuwa kuna wabaya
wake wali hack account zake za twitter na facebook na
kutangaza kwamba kesho atatumbuiza katika tamasha la Serengeti
Fiesta...
Taarifa sahihi ni kwamba, yeye
hatahudhuria tamasha hilo na waliotangaza taarifa hizo ni adui
wa mafanikio yake ambao walitumwa na vibosi wao ili wamchafue.
No comments:
Post a Comment