POOL PARTY

POOL PARTY

Thursday, October 24, 2013

BAADA YA KUFUKUZWA WATANASHATI DOGO JANJA ALIA KUMUOMBA JUMA NAMUSOMA MSAMAHA


Baada ya siku ya jana kupatikana kwa habari za Dogo Janja kutimuliwa kundi la Watanashati Entertinment lililo chini ya uongozi wa Ostaz Juma Namusoma kwa utovu wa nidhamu na tabia mbaya ambayo dogo Janja alikuwa ameianzisha. Tofauti na wengi walivyodhani kuwa Dogo Janja atarudi kwa Arusha na maisha yatasonga lakini imekuwa sivyo, Dogo janja alielwa kosa lake na kuamua kuomba msamaha katika Uongozi wa Watanashati na kukubaliwa na kurudi kundini kama zamani, Mtoto akinyea mkono huwezi kuukata ila utaosha na maisha yataendelea kama kawaida, hii ndiyo falsafa aliyoitumia Ostaz Juma Namusoma kwani anamchukulia Dogo Janja kama mwanae au mtu wake wa karibu

No comments:

Post a Comment