Mwimbaji wa nyimbo za injili toka
nchini Nigeria ajulikanaye kwa jina la Maheeda amejikuta
akitengwa na kanisa baada ya picha zake za uchi kuvuja….
Taarifa zinadai kwamba kabla ya
kuanza kuimba nyimbo za dini, mrembo huyo alikuwa akijihusisha
na mziki wa kidunia ambao kwa tanzania unajulikana kwa jina la
Bongo Fleva
No comments:
Post a Comment