POOL PARTY

POOL PARTY

Thursday, October 24, 2013

Kanye West aonyesha njia tofauti ya kumkubali baby mama wake baada ya kuvaa t-shirt yenye sura ya Kim

Kanye West amegundua njia tofauti ya kumuonyesha kumkubali mchumba wake Kim Kardashian baada ya kuvaa t-shirt yenye picha ya
baby mama wake huyo inayoonyesha sura yake siku ya jana akiwa Seattle, mda mfupi kabla ya kuanza tua yake ya Yeezus na kutupia bonge la tabasamu

No comments:

Post a Comment