POOL PARTY
Saturday, October 26, 2013
FLORA LYIMO "NIMEFUNGA TO BLOG AND FACEBOOK FOR ONE WEEK FROM TODAY MONDAY 21/10/2013 ''KWA AJILI YA KWENDA KUSALI ROZARI "
BY:FLORA LYIMO~ BREAKING NEWS! TO ALL MY FANS AND MY READERS ' DUE TO OCTOBER MWEZI WA ROZARI 'NIMEFUNGA TO BLOG AND FACEBOOK FOR ONE WEEK FROM TODAY MONDAY 21/10/2013 ''KWA AJILI YA KWENDA KUSALI ROZARI
HAPA NAIMBAJE 'JAMANI NAJISIKIA KAMA NIPO KULE MOSHI KILEMA KANISANI'' NAIMBAAAA ,NAFURAHIIIIII,'NA TUSALI ROZARI NA TUIMBENI PAMOJA MY DEARS' WAPENZI(FANS) WANGU PAMOJA NA WANAOITEMBELEA BLOG HII'' AGAIN POLENI KWA KUTOKUKUWEPO KUWARUSHIENI MAPOCHOPOCHO YA UKWEE'' ONLY SIPO KWA MUDA WA WIKI MOJA TU'NAKWENDA KUSALI ROZARI KUANZIA JUMATATU 21/10/2013 MPAKA JUMATATU IJAYO 28/10/2013KAMA MNAVYOJUA HUU NI MWEZI WA BIKIRA MARIA KWETU SISI WA KATOLIKI'' NA HASA WALE WANAO MPENDA MAMA YETU BIKIRA MARIA NA KUMUAMINI NA VILE VILE KUMTEGEMEA KAMA MAMA YETU NA MAMA WA ULIMWENGU MZIMA KAMA MIMI HAPA 'NI MWEZI MZURI SANA WAKUKAA NA KUSALI NA KUONGEA NA MAMA YETU KIUNDANI NA KIUPOLE ZAIDI ''I LOVE HER SO MUCH '' CHAMESHA MAE KANYI''
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment