Captain wa Bongo Fleva Tanzania, Tunda Man soon anadondonsha pini jipya
"Msambinungwa" aliyoifanya chini ya producer Shedy Clever huku akiwa
amemshirikisha Alikiba.
"Msambinungwa ni ngoma ambayo nimemshirikisha mwanangu, ndugu yangu,
mnyamwezi wangu, mchizi wa geto, wengi wanamuita Alikiba au sio, ni
ngoma moja kali, ngoma ya kuchezeka ngoma moja ambayo naifikiri kila
mmoja ataipenda kwasababu ni kali kuliko, kaa mkao wa kula kwasababu
sasa yoyote nitaidondosha ngoma hiyo Msambinungwa" amesema Tunda man
No comments:
Post a Comment