HAFRA FUPI YA KUWAAGA BUKOBA VETERANI WANAOKWENDA ARUSHA KUSHIRIKI BONANZA LA KUMUENZI BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE, IKIFANYIKA VIWANJA VYA IBRACADABRAA TAKE AWAY.
Mwenyekiti wa bukoba veterani Ernest
nyambo akimshukuru bw Ibra (kulia) alieandaa hafra hii jioni ya leo
kuagana na wachezaji wenzake wanaoelekea Arusha. Mashindano hayo
yatafanyika katika uwanja wa shekhe amri abedi,yatakutanisha timu kutoka
mikoa ya Dar-es-salaam,mwanza ,kigoma na wenyeji kitambi noma ya mjini
arusha,pia itakuwepo na michezo mingine kwa ajili ya kumuenzi baba wa
taifa la tanzania,Mwenyekiti ametumia nafasi hii kuwashukuru wadau
mbalimbali wa bukoba walishiriki kwa hali na mali na kufanikisha safari.
dada wa veterani
super mkude kwenye mstari
nyama choma kama kawaida
weka cha kutosha mwili siunauona huu
salumu bonge kama kawaida
veterani,mtensa, super mkude na jamco wakipata msosi
ni full makulaji
jamco akiwa na bw Ibrah alieandaa hafra hii,ongera ibra kwa uzalendo na mapenzi ya kweli kwa wenzako
hafra hii ilifanyika barabara ya uganda katika mgahawa wa Ibracadabraa
BUKOBA FLOW ZONE IKISHILIKIANA NA BUKOBA STARLINK TUNAWATAKIA SAFARI NJEMA NA MUNGU AWATANGULIE.
No comments:
Post a Comment