POOL PARTY

POOL PARTY

Monday, June 17, 2013

Ufafanuzi Wa Lil Wayne Kuhusu Lini Atastaafu Mziki.

"Yes The Carter V Ndio Cd Ya Mwisho Ila Bado Haijanza kufanyiwa Kazi" Rapper anaye fatiliwa zaidi na vijana duniani kwa sasa Lil Wayne amesema Album yake ya mwishi itakuwa The Carter V ila haitatoka anytime soon, kwanza album kibao kutoka kwake na Baba yake wa kambo Birdmen zitatoka. Wizzy amesema anamuda wa kutosha wakurecodi mziki mpya mpaka atakapo amua kutangaza rasmi kuwa anaanza kurekodi The Carter V. Lil Wayne amesema akistaafu mziki atatumia muda wake mwingi na familia yake na kufanya mambo ambayo hajawahi kupata muda wakuyafanya.
Mpaka sasa taarifa hizi zinachukuliwa kama stori tu kwani hata Jay z Alishawahi kusema anastaafu mziki lakini alirudi kama kawa.

No comments:

Post a Comment