POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, June 21, 2013

LULU ACHEKELEA UJIO WA KANUMBA JR

Posted by GLOBAL on June 21, 2013 at 8:30am 0 Comments
Na Imelda Mtema

Msanii wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu,’ hivi karibuni alionesha kufurahia kuzaliwa kwa mtoto wa wifi yake ambaye ni dada wa marehemu Steven Kanumba aitwaye Abela.

Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa na Kanumba Jr.
Akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Lulu alionekana amempakata mtoto huyo wa kiume aliyepachikwa jina la Kanumba Jr. huku akichekelea kuashiria amepata mtu wa kujiliwaza naye.

Mbali na Lulu, Mama Kanumba, Flora Mtegoa na Mama lulu, Lucresia Kalugira walikuwa miongoni mwa watu…

Na Imelda Mtema
Msanii wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu,’ hivi karibuni alionesha kufurahia kuzaliwa kwa mtoto wa wifi yake ambaye ni dada wa marehemu Steven Kanumba aitwaye Abela.

Elizabeth Michael 'Lulu' akiwa na Kanumba Jr.
Akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Lulu alionekana amempakata mtoto huyo wa kiume aliyepachikwa jina la Kanumba Jr. huku akichekelea kuashiria amepata mtu wa kujiliwaza naye.
Mbali na Lulu, Mama Kanumba, Flora Mtegoa na Mama lulu, Lucresia Kalugira walikuwa miongoni mwa watu walioshangilia kuzaliwa kwa mtoto huyo ambapo juzi walionekana kituko hospitalini hapo kutokana na furaha ya kupitiliza waliyokuwanayo.

No comments:

Post a Comment