POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, June 7, 2013

The Boss lady Huddah Monroe na Prezzp Mapenzi Tele, Diva Aamua Kuweka Picha ya Nusu Uchi Kupoteza Soo


Prezzo akiwa na huddah jana muda mchache baada ya lady boss kutua katika  ardhi ya kenya.. ahahahahahah  prezzo kajiachiajeee!!!

 Baada ya huddah kuweka picha yake akiwa na prezzo na kuzua gumzo ndani ya mtandao huo wa twirraa, dada yetu akaamua kuweka picha yake ya.....(sijaielewa sijui AVI na hii ahahahha samahani lakini) ili kupotezea soo hilo..
ahahahahah Sasa bado hatuelewi  kama ile LOVE AT THE FIRST SIGHT IMEISHIA WAPI maana presidente anaongea kwa vitendo tu!! #okeee

No comments:

Post a Comment