POOL PARTY

POOL PARTY

Tuesday, June 18, 2013

Ludacris Amepiga Hizi Picha Baada Ya Uvumi Kuwa Kapigwa Na Chupa Kichwani


Yes jamaa anajua kutumia Instargram yake vizuri, Ludacris ameingia kwenye Instargram kukanusha kuwa ameumizwa na chupa iliyo rushwa wakati anapiga mzigo kwenye club flani huko Atlanta. Ndio kuna chupa ilirushwa kuelekea kwangu ila haijanigusa and i m okey alisema Ludacris kupitia hii picha aliyo weka kwenye twitter pia

No comments:

Post a Comment