Rapper Jay Z Ametangaza Ujio Wa Album Yake Mpya Na Jinsi Ya Kuipata Kirahisi
Rapper
anaye set standard za Hiphop duniani Jay Z ametangaza ujio wa cd yake
mpya Itakayoitwa Magna Carta Holy Grail, Itakuwa mtaani July 4 na
kupitia Simu za Sumsung utaipata kirahisi zaidi. Watumiaji Milioni moja
wa kwanza wa Samsung Galaxy III, Galaxy S 4, na Galaxy Note II watapata
nafasi ya kuwa na application itakayo ruhusu kudownload cd hio.
Application hii itakuwa tayari June 24 kupitia magnacartaholygrail.com .
Wakati wa game 5 ya NBA Finals walirusha clip inayo muonyesha Jay z
akiwa na Rick Rubin, Pharrel Williams,Swizz Beats Na Timbaland
wakitengeneza mzigo mwingine. Album ya Mwisho wa Jigga Ilikuwa The
BluePrint 3 ya 2009
No comments:
Post a Comment