Diamond (kushoto) akisalimiana na Mgaza Pembe 'M2 The P'.
...Wakibadilishana mawazo.
Diamond katika pozi na…
Diamond (kushoto) akisalimiana na Mgaza Pembe 'M2 The P'.
...Wakibadilishana mawazo.
Diamond katika pozi na Mgaza Pembe 'M2 The P'.
Msanii mahiri wa Muziki wa Kizazi Kipya nchini, Nasibu Abdul
'Diamond' juzi Jumatano alikutana na rafiki kipenzi wa marehemu Albert
Mangweha, Mgaza Pembe 'M2 The P' katika hoteli
ya The Atrium iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam na kubadilishana
mawazo. Diamond alikutana na msanii huyo wakati alipokwenda kufanya
mahojiano na Sauda Mwilima wa Star TV kuhusu maandalizi ya show yake
atakayoifanya kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Julai
7 mwaka huu ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar.
No comments:
Post a Comment