Leo 7 (june) ni siku ya kuzaliwa kwa mwanamuziki na mtangazahi wa Choice Fm, "Vanessa Mdee". Vanessa ndio elifanya collable na Ommy Dimpoz kwenye wimbo uliofanya vizuri sana, mpaka kupelekea kuingia katika tuzo za Killi, zinazotarajiwa kufanyika siku ya kesho Mlimani City. Licha ya collable hiyo, mwenyewe aliachia single yake "Closer" ambayo pia imepata nafasi ya kuingia katika kinyang'anyiro cha tuzo hizo, kupitia category ya msanii anaechipukia. Happy Birthday Vanessa.
POOL PARTY
Saturday, June 8, 2013
HAPPY BIRTHDAY VANESSA MDEE
Leo 7 (june) ni siku ya kuzaliwa kwa mwanamuziki na mtangazahi wa Choice Fm, "Vanessa Mdee". Vanessa ndio elifanya collable na Ommy Dimpoz kwenye wimbo uliofanya vizuri sana, mpaka kupelekea kuingia katika tuzo za Killi, zinazotarajiwa kufanyika siku ya kesho Mlimani City. Licha ya collable hiyo, mwenyewe aliachia single yake "Closer" ambayo pia imepata nafasi ya kuingia katika kinyang'anyiro cha tuzo hizo, kupitia category ya msanii anaechipukia. Happy Birthday Vanessa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment