MACHANGUDOA WANAOFANYA BIASHARA YAO SINZA WAKAMATWA
Mgambo
wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada
wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa
katika eneo la Sinza. Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa
wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria
No comments:
Post a Comment