POOL PARTY

POOL PARTY

Tuesday, June 18, 2013

ESTER BULAYA AJIANDAA KUMKABILI AUNT EZEKIEL

Mbunge wa Viti Maalum CCM kutoka Mkoa wa Mara, Ester Bulaya, akijiandaa kwa ajili ya pambano lake la ndondi na Aunty Ezekiel. Kushoto ni Mbunge wa Kinondoni Idd Azan ambaye yeye atazipiga na msanii JB.

Video:…

Video:
Ester Bulaya akipewa mazoezi na Idd Azan tayari kwa mapambano ya ndondi yatakayofanyika katika Tamasha la Usiku wa Matumaini Julai 7 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.

No comments:

Post a Comment