AY NDANI YA LONDON READY KWA AJILI YA TRAFFIC LIGHT PARTY
Rapper AY yuko nchini Uingereza kwa ajili ya show inayofanyika kila
mwaka Tanzania na Uingereza "Traffic Light Party" ambayo inatarajiwa
kufanyikasiku ya kesho tarehe 15 June, ndani ya Club Laface, London
No comments:
Post a Comment