POOL PARTY

POOL PARTY

Thursday, June 20, 2013

PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA IZZO BUSINESS “LOVE ME”



Siku ya Jana, Mbeya City rapper IZZO BIZNESS was shooting his new music video ambayo itafuata … Ni video ya ngoma yake ya LOVE ME aliyofanya na SHAA pamoja na BARNABA … Ilikuwa ni siku nzima ya kazi kubwa ya shooting ya video hiyo …
Imefanywa na Dir. NICK DIZZO kutoka kampuni ya utengenezaji video ya E-MEDIA … Kila mtu alikuwepo kufanikisha uchukuaji wa video hiyo …
Hizi baadhi ya picha za location tofauti za video hiyo, zitazame hapa chini ;
IMG_0472
IMG_0491
IMG_0495
IMG_0520
IMG_0533
IMG_0562
IMG_0582
IMG_0586
IMG_0638
IMG_0643
IMG_0650
IMG_0652
IMG_0653

No comments:

Post a Comment