POOL PARTY

POOL PARTY

Wednesday, July 3, 2013

Ludacris ashtakiwa kwa kuiba wimbo "Sex Room" mwaka 2009


Rapper kutoka Atlanta, Ludacris ameshtakiwa na msanii emcee Marvo kwa kuibwa wimbo "Sex Room" aliouachia mwaka 2009. Marvo anadai yeye ndio alitoka na idea ya kwanza (2009) ya wimbo huo ambao Luda amemshirikisha Trey Songs.
Kutokana na mtandao wa AOL, Marvo alikuwa akifanya kai na producer anaeitwa Kajun ambae mwisho wa siku alimgeuka na kumpa wimbo huo Ludacris, na licha ya kumpa wimbo huo, hajapokea hela yoyote ya malipo kwa kuutumia wimbo huo, licha ya kuwa Luda ametumia mashairi yake mengi.
Kiasi cha pesa anachokidai bado hakijajulikana





"Sex Room" ni single iliyokuwa katika album ya Luda  "Battle of the Sexes"  album ambauo ameiachia hivi karibuni, na tangu kuachia album hiyo amekuwa akifanya kazi ya ku-record album mpya "Ludaversal", ambayo ana-plan kuiachia miezi kadhaa ijayo. kwasasa ameachia mixtape alioipa jina la "IDGAF" aliyoichia mwezi wa tano.
Baada ya shutuma hizo kutoka Luda  alijibu, "kusema ukweli inaonekana kama mtu mwingine anataka kutengeneza mkwanja kwa kutumia kazi ya mtu mwingine"

No comments:

Post a Comment