POOL PARTY

POOL PARTY

Tuesday, July 16, 2013

Dj Pq kuiwakilisha Tanzania ndani ya Big Brother The Chase 2013


Dj Pq, (Peter Chasama) kutoka Clouds Media Group, anatarajiwa kupiga ndani ya Big Brother House nchini South Africa, mwaka huu, ambapo atapiga siku ya jumamosi (20) kuwapa shangwe housemates
Dj Pq aliwahi kufanya kazi na kipindi cha XXL Clouds Fm, lakini kwasasa unamuona kupitia kipindi cha Cloud 9 kupitia Clouds Tv akiwa na DeeAndy.
Kama unakumbuka mwaka 2012, katika session ya ma Dj, kutoka Tanzania tuliwakilishwa na the one and only best femaly Dj in Tanzania, Dj Fetty, na kutupia shangwe za hatari kwa housemates, ambapo alipiga siku mbili mfululizo, jumamosi na siku ya eviction ambayo ni jumapili.
All the best to you, najua utakamua sanaaaaa. Noumer sanaaaa

No comments:

Post a Comment