POOL PARTY

POOL PARTY

Monday, July 22, 2013

CHECK OUT: RAY C AONYESHA UPENDO KWA RECHO HADI KUAMUA KUGONGA COLLABLE NAE! SOMA HAPA UFAHAMU ZAIDI UKARIBU WAO

Nakumbuka kipindi Recho ndio anatoka na singe yake ya kwanza kabisa kwenye industry, wasikilizaji wengi sana walidhani ni Ray C, na baada ya kujua kuwa ni
Recho mwenye sauti na kuimba kama Ray C wengi walisema kuwa ana copy na ku-paste style ya uimbaji pamoja na sauti ya Ray C, lakini kwasababu Ray C mwenyewe kwa wakati huo alikuwa yupo kimya, basi mama ako akatumia fursa vizuuuuri akatusua, mpaka sasa anafanya vizuri na single mpya "Mwali Kigego"
Sasa Ray C yuko poa na tayari anaonekana kuanza kuwa na mipango ya kurudi tena kwenye game, leo hii ameonekana akimsifia Recho kwa kuwa na sauti nzuri na anaipenda na kuahidi kufanya nae collable kwasababu anaamini Recho anampenda na kumkubali yeye.

rayc1982Dogo Langu Kazini,kwasababu ananipenda na kunikubali lazma tutaimba wote wimbo mmoja for You guys cz hata mimi penda sauti yake sana!!!!!! Miss Upepo@rachelkizunguzungu

No comments:

Post a Comment