POOL PARTY

POOL PARTY

Friday, July 19, 2013

NEW GOSPEL MUSIC BY JOSEPHAT MWOMBEKI

Msanii mpya anayechipukia kwenye nyimbo za Gospel anajulikana kwa jina la Josephat Mwombeki ni ndugu wa Johnson na Jackson(P Square wa bongo)
Ngoma hizi zimetengenezwa na kusimamiwa na mtayarishaji wa music Steve white. Albamu yake ipo tayari na itakuwa na nyimbo 9 zenye mahadhi tofauti ili kujaribu kuleta challenge katika muziki wa injili.
Mpaka sasa albam haijapatiwa jina ila uongoziuinakaa kwa ajili hiyo na lolote jipya tutawajuza,ila tumeamua Rasmi kuziachia nyimbo hizo kwa ajili ya kumtangaza na hatimaye kuitangaza albam mungu akijalia.

No comments:

Post a Comment