POOL PARTY

POOL PARTY

Thursday, July 11, 2013

STAA WA MAJANGA AFUMWA AKIANDAA FUTARI

Snura Mushi 'Mama Majanga' akiandaa futari.
Hivi ndivyo kamera yetu ilivyomfuma staa wa muziki  Snura Mushi 'Mama Majanga' akiandaa futari ikiwa ni siku ya pili toka mfungo wa Ramadhani uanze.

Paparazzi wetu alimfuma nyumbani kwake Mwananyamala akimalizia kukamua juisi, baada ya kupika futari mida ya saa kumi jioni

“mimi mbali na muziki naweza kupika chakula kitamu na kuandaa juisi tamu kama hii” Alisema Snura.

(Picha na Hamida Hassan /…

No comments:

Post a Comment