POOL PARTY

POOL PARTY

Monday, July 8, 2013

MWANAMUZIKI WAKAZI AMPROVE WRONG TID-APAGAWISHA SHOW YA BIG BROTHER VILIVYO


 Baada ya Mtanzania Wakazi kuchaguliwa kuimba katika show ya Big Brother huko South Africa , Week nzima iliyopita kulikuwa na Mijadala kuwa Wakazi Ataimba nini kwa kuwa hana Hit Song iliyotamba Tanzania .."Hii Ilipelekea mpaka TID akaandika status kumzihaki ...kwa kusema Wakazi ataimba nini"
Lakini Jana kijana huku amewaprove wrong wote waliokuwa wanamzihaki....baada ya kutoa show ya nguvu....
Soma hapa website ya Big Brother walivyoandika kuhusu kijana huyo wa Kitanzania ..

After a whole week of waiting for the young talented Tanzanian “Wakazi” to perform on the live eviction eviction show, he has finally done his thing on the Big Brother Africa stage.
He has began by performing a great jam titled “Weekend/Touch” which was a combination of both English and Kiswahili ryhmes with a lot of energy which totally left all the Big Brother Africa fans crazy and while he was putting out his rymes, all the sexy girls were tirelessly cheering the sexy Tanzanian rapper.
Later after Fatima and Hakeem had been evicted from the Big Brother house, Wakazi stepped again on the Big Brother Africa stage with another killer jam titled Sexy Lady.
He completely killed it off with this one because even the evicted Fatima could not hold it anymore, she stood and started dancing to the tune of the song.

No comments:

Post a Comment