POOL PARTY

Friday, March 28, 2014
Wednesday, March 26, 2014
Diamond aishauri serikali kuzifungia kwanza video na nyimbo kutoka nje ya nchi kwani zina uchafu zaidi kuliko video za wasanii wa hapa Bongo
Na kuongeza kuwa kuliko kuzuia nyimbo na video za nyumbani ambazo uchafu wake haufikii hata robo ya uliopo kwenye Nyimbo zinazopewa kipaumbele toka nje... Hii ni sawa na kuzidi kuukuza muziki wa nje huku tukiudidimiza na kuua mziki wetu... Will the target of reaching our goals ever be achieved?
WASANII WATAKAOWANIA TUZO ZA KILI MUSIC AWARDS 2014 WATAJWA
WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL – Nishai ya Chibwa ft Juru, Sexy Lady ya Dr. Jahson, My sweet ya Jettyman Dizano, feel alright ya Lucky Stone na wine ya Princess Delyla.
WIMBO BORA WA KUSHIRIKISHWA/KUSHIRIKIANA – Muziki gani ya Ney wa Mitego ft Diamond, Joto hasira ya Lady Jaydee ft Prof J, kidela ya Ally Kiba na Abdu Kiba, bila kukunja goti ya MwanaFA, Ay ft J Martins na tupogo ya Ommy Dimpoz ft J Martins.
RAPA BORA WA MWAKA WA BENDI – Kitokololo, Chokoraa, Ferguson, Canal Top na Totoo ze bingwa.
MTUMBUIZAJI BORA WA K*** WA MUZIKI – Khadija kopa, Vanessa Mdee, Isha Ramadhani, Luiza Mbutu, Catherine (Cindy)
MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA TAARAB – Enrico, Ababuu mwana wa Zanzibar na Bakunde.
MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA (BENDI) – Allan Mapigo, C9, Enrico, Amoroso na Ababuu mwana wa Zanzibar.
WIMBO BORA WA REGGAE – Niwe nawe ya Dabo, hakuna matata ya Lonka, tell me ya Dj Aron ft Fidempha, bado nahitaji ya Chikaka ft Bless P & Lazzy B, Bongo reggae ya Warriors from the east.
WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA – Kwejaga nyangisha ya Batarokota, Nalonji ya Kumpeneka, bora mchawi Dar bongo massive, tumbo lamsokota ya Ashimba, Aliponji ya Wanakijiji na Agwemwana ya Cocodo african music band
Sunday, March 23, 2014
Thursday, March 20, 2014
NJEMBA MOJA YAKAMATWA LIVE IKILA URODA NA MWANAFUNZI KWENYE GARI LAKE
Jamani haya Magari yetu yamegeuka kuwa Gesti House siku hizi, Maana haka kamchezo kameshamiri hapa jijini Dar ...Hiki ndicho kilichomkuta njemba huyu Baada ya kunaswa akila Uroda na mwanafunzi kwenye gari yake.
ROMA AKERWA NA WANAOZIFANANISHA NYIMBO ZAKE NA MAGAZETI AU TAARIFA YA HABARI
Roma ana miaka 7 tu kwenye game ya bongo flava huku akiwa na fan base kubwa, wiki iliyopita ameachia ngoma yake ya saba tangu aingie rasmi kwenye game, ngoma inaitwa KKK
Roma huyu hapa anafunguka.
Tuesday, March 18, 2014
Producer Mswaki awajia juu Bongo5 baada ya kuitafsiri project yake kuwa ni Obsession na kutafuta kiki
Kama unakumbuka wiki iliyopita siku ya ijumaa, Mswaki aliongea juu ya
project aliyokuwa akitarajia juifanya aliyoipa jina la "Keeping Ngwair
Alive" ambapo alikuwa akitarajia kutoa ngoma kadhaa kwa sauti na style
ya Ngwea maana anipatia sana, ila alikwamishwa na familia ya Ngwea baada
ya kwenda kuwaona na kuomba blessing juu ya swala hilo, ambapo
aliambiwa ni mpaka aweke kila kitu kwenye maandishi. Mtandao wa Bongo5
ulitoa makala ikiongelea project hiyo na kuitafsiri kama ni Obbsession
na kutafuta kiki tu. Mswaki baada ya kukutana na maandishi hayo, aliamua
kutumia ukurasa wake wa Instagram na kusema haya.
Really? #Obsessed? #KutafutaKiki? #Bongo5 naomba nieleweke hivi... 1.Kwanza kabisa nyie kama chombo cha habari mlikuwa na haki kimsingi ya kunitafuta mimi mwenyewe na kuniuliza kama mlikuwa mnataka kujua kuhusiana na hii project,kuliko KUANDIKA na KUJIPA MAJIBU pasipo kuwa na taarifa za kutosha 2.Mnasema kwamba mimi najaribu au nataka kuchukua character ya marehemu Albert,I CAN NEVER BE ARBERT hata siku moja kwa sababu muziki ni sehemu ndogo sana ya maisha au tabia ya mtu.
3.Mi naamini kila mtu anaweza kumuenzi marehemu kwa nafasi yake hata kama ni kidogo sana,kama mnanifatilia kwa makini sijawahi kusema kwamba mimi ni ZAIDI ya marehemu Albert. 4.Hiki kitu nilikuwa nakifanya kwa nia njema na nilikuwa naamini ni moja ya njia ya kumfanya Albert aendelee kuishi kimziki kwa upande mwingine. 5.Kuweza kufanya kama marehemu ni moja ya sababu tu iliyonipelekea kufanya#keepingNgweaAliveProject,lakini kimsingi project ilikuwa inamuhusu Ngwea moja kwa moja kuanzia kitu alichokiimba na naamna navyoimba mimi ndo maana nikaenda kuwaona wazazi wake ili nao waweze kupata mwanga wa project nzima. Je kuna wasanii wangapi mashuhuri waliofanya vitu vikubwa sana na wakasahaulika kabisa KIMUZIKI?nilikuwa najaribu kuwa mfano kwa hii project kwa kuleta muamko katika jamii wa kuwambuka watu mashuhuli waliotutangulia KWA CHOCHOTE KIDOGO ULICHONACHO. Ahsante
Diamond: What can i say, i love her either way
Baada ya watu wengi kutoa comments zisizo nzuri juu ya picha aliyoiweka
Wema Sepetu kwenye acc yake ya Instagram ikimuonyesha akiwa kipara
kabisa, Diamond aamua kukata vilimi vya watu hao kwa ku-post picha akiwa
na Wema (Kipara) na kusema kuwa anampenda vyovyote vile hata kama ni
kipara
So someone decided to go Bald...Lol! ��...what can i say, i love her either way... #Mahaba_niue#Kipara_ninyonge
Saturday, March 15, 2014
ROSE NDAUKA ASAFISHA JIJI
Kampeni hiyo imefanyika katika wilaya ya Ilala ambapo walianza kufagia kuanzia maeneo ya Lumumba mpaka Mnazi Mmoja.
Subscribe to:
Posts (Atom)