Roboti zapata ajira mgahawani China
Hadimu hivi karibuni huenda wakakosa ajira maana roboti zimezinduka
Mgahawa mmoja nchini China umeanza kutumia
Roboti badala ya kuwaajiri hadimu au wafanyakazi wa hotelini kuwapakulia
chakula na vinywaji wageni. Hebu tazama mambo yalivyo.CHANZO BBC
No comments:
Post a Comment