Akionekana
kama amesinzia kwa hisia kali mbele ya bendi ya muziki ya B Band
inayomilikiwa na msanii mkongwe, Banana Zorro, picha hii ya mwingizaji
Irene Uwoya ilizua maswali mengi kuwa anaonekana jama alikuwa amechapa
kilaji sana na kulewa ndio akapandisha mizuka hii
au ni mapenzi na
mahaba yake na wimbo au nyimbo ambazo zilikuwa zikipigwa na bendi hiyo.
Majibu ya maswali hayo yote anayo Uwoya mwenye, lakini waswahili wanasema picha inazungumza. Wewe je unamuonaje hapo??
No comments:
Post a Comment